Division and Unit

SAGCOT CTF Organisation Structure

TADB Na SAGCOT Kichocheo wasaini randama ya ushirikiano

Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti na Sera wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo(TADB), Dkt.Nyankomo Marwa (wapili kulia) akibadilisha randama ya makubaliano na Katibu Mtendaji wa SAGCOT Kichocheo Bw.John Kyaruzi(wapili kushoto) yenye lengo la kuboresha mazingira ya upatikaji wa mikopo yenye tija kwa wakulima ili kukuza na kuendeleza sekta ya kilimo hapa nchini. kushoto ni Mwanaseheria wa SAGCOT Kichocheo Bi.Ukundi