Division and Unit

SAGCOT CTF Organisation Structure

SAGCOT Kichocheo yapongezwa kwa kuinua wakulima wadogo

NAIBU Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa  akielezea jambo  alipotembele  makao makuu ya Mfuko wa SAGCOT Kichocheo yaliyopo  jijini Dar es Salaam ikiwa  ni ziara  yake ya kwanza  toka ateuliwe na Rais  wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. John  Pombe Magufuli. NAIBU Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa  akizungumza jambo na watendaji wa Mfuko wa SAGCOT